Hivi BRELA walishaita watu kazini kwa wale waliofanya usaili mwezi wa 7?

shaniyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
336
Reaction score
239
Habari wakuu,

Hivi BRELA walishaita watu kazini kwa wale waliofanya usaili mwezi wa 7?
 
Mimi sijaona kama wameita, ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu usaili umefanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…