johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Walau mahakama wana chuo pale Lushoto!Mwisho wa siku utakuja pia kuhoji kuhusu Mahakama bila shaka na zenyewe ziwe na vitega uchumi!
Kwa ajili ya nini hasa?
Walau mahakama wana chuo pale Lushoto!
Bwashee unataka bunge liwe na chuo cha wabunge hahaa.Walau mahakama wana chuo pale Lushoto!
Achaga upumbavu, aliye kwambia bunge ni taasisi ni nani? Shule za kijinga zinaharibu elimuNauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea.
Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi?
Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea.
Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi?
Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli Lisu hatakubaliana na mimi kwa sababu Chadema haina kitega uchumi hata kimoja katika uhai wake wa miaka 28.Kwani hicho chuo kinaendeshwa na Mahakama au Serikali? Na unataka na Bunge nalo liwe na chuo, mashamba ya mahindi kule Kibaigwa! Nk.
Wacha Bunge lijikite kwenye majukumu yake ya msingi Bwashee. Au kwa sababu mmelivuruga awamu hii ya tano basi mnataka mlivuruge zaidi awamu hii inayofuata!
Rais ajaye Mh. Tundu Lissu hatakubaliana na wewe katika hili.
Umeshapanic..... Mbege ya jana bado haijakutoka kichwani na hela ya kisusio huna!Achaga upumbavu, aliye kwambia bunge ni taasisi ni nani? Shule za kijinga zinaharibu elimu
Nimeelewa leo vizuri kwanini huwa wewe unasapoti ccm, ni kwasababu ya kutokujua ukweli wa mambo. Yaani unalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano liwe linafanya biashara ya maduka, vituo vya afya, mahoteli, nk?! Bunge liwe na miradi ya biashara?!!! CCM inafaidika sana na watu wasiojua ukweli kama wewe.Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea.
Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi?
Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!