Ngwaru Ndiavilema
Member
- Sep 26, 2016
- 68
- 51
Wapendwa habari za Asubuhi natumai Mungu ametuamsha salama. Ila kunakitu nimefikiria.... Ujue me sijaoa wala sijawahi kulala na mwanamke mpka Asubuhi ila kunaswali naomba mnisaidie. Katika hali ya kawaida tu ambayo yenyewe haihitaji peni wala karatasi kukubali au kukanusha, Tunajua kuwa usafi ni msingi Wa afya bora kwa kila mmoja wetu lkn kutokana na mzunguko. Wa maisha huwa hatuufuatilii kila siku kikamilifu. Hivyo basi kwa wanandoa niwaulize ikitokea siku mumeo au mkea hajapiga mswaki muda Wa kulala mkalala mpka Asubuhi kwa kawaida kinywa lazima kitoe harufu mbaya. Sasa ikitikoe Asubuhi hiyo amekubusu kabla habapiga mswaki. Je busu lake kwako utalichukuliaje? Litakukera kwasababu linanuka au utalipaka rangi kwa kulipulizia pafyum ili linukie? Msaaadaa jamani....