Hivi busu la Asubuhi linanuka au linanukia?

Joined
Sep 26, 2016
Posts
68
Reaction score
51
Wapendwa habari za Asubuhi natumai Mungu ametuamsha salama. Ila kunakitu nimefikiria.... Ujue me sijaoa wala sijawahi kulala na mwanamke mpka Asubuhi ila kunaswali naomba mnisaidie. Katika hali ya kawaida tu ambayo yenyewe haihitaji peni wala karatasi kukubali au kukanusha, Tunajua kuwa usafi ni msingi Wa afya bora kwa kila mmoja wetu lkn kutokana na mzunguko. Wa maisha huwa hatuufuatilii kila siku kikamilifu. Hivyo basi kwa wanandoa niwaulize ikitokea siku mumeo au mkea hajapiga mswaki muda Wa kulala mkalala mpka Asubuhi kwa kawaida kinywa lazima kitoe harufu mbaya. Sasa ikitikoe Asubuhi hiyo amekubusu kabla habapiga mswaki. Je busu lake kwako utalichukuliaje? Litakukera kwasababu linanuka au utalipaka rangi kwa kulipulizia pafyum ili linukie? Msaaadaa jamani....
 
Ah Sasa unaanzaje kulala bila kupiga mswaki
 
Ah Sasa unaanzaje kulala bila kupiga mswaki
Valentino acha zako hz kwani wewe tangu ujitambue yaani uanze kujihudumia mwenyewe kweli kila siku unapiga mswaki kabla ya kulala? Hahahaha hii hakunaga Sipendagi ujinga Mimi cos smdays unalala bila kula sembuse kuswaki!!!!
 
Inategemea umekula nn kama n mataptap jiandae kuvaa mask πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€
 
Vitu vingine majibu hupata hapo hapo kwenye tukio...
 
Lakin bado hamjanijibu au pengine nyie ndo wahusika hivyo mnaona aibu kusema?
 
Mbona huwa mnazama chumvini ,je harufu ya huko uvinza ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…