Hivi Cardinal Pengo ni Mtanzania?

This is bad logic, very bad logic indeed. How can you argue that he has the potential to be a citizen of the Vatican in the future, and therefore he is not a citizen of Tanzania now?

Uta waweza mkuu? Common sense is actually not that common.
 
Muungwana ni vitendo, Sema samahani au sorry basi yaishe. Mimi naona aibu kwa great thinkers kipost kitu kama hiki hapa. Wahusika tusaidieni kuzuia viyu kama hivi.
 
Mwandishi by default ni Mujahidina

Pengo anawaumiza kichwa na mutakiona cha moto mwaka huu.

Jk mwenyewe anahaha,hahahahahah
 
Hivi yaonekanaa Pengo anakerwaa sanaa na uongozii tulionao kwa sasa. na kutokana na nafasi yake katika jamii yuko sawa kuonyesha hisiaa zakee kulingana na mambo ya kiutawalaa yanavyokwendaaa..

Jk anataraji kukutana na viongozii wa dini pale makamu wa raisi na waziri mkuu watakaporejeaa toka nje ya nchi na tuwee wavumilivuu kushuhudiaa kikao hicho na yale yotee yatokanayoooo...
 
.......... Fundi, usipotee sana bwana, shule yako iliyo poignantly succinct inahitajika.........


kweli kabisa Mkuu.......Fundi usipotee namna hiyo Mkuu


Jamani eeh msameheni bure ndugu yetu Hafif
 
kwa wakatoliki na wasio wakatoliki ni kweli kuwa polkarp kardinal pengo ana urai wa nchi mbili yaani vatican state na tanzania, kuna mikataba mingi ya kuhusu vatican state au holy see, leo nina haraka nitaweka bandiko hapa kumjibu mwenye hoja
 
HM Hafif unatuacha hoi kwa sababu bandiko lako halina mashiko kwani Pengo amekosa nini?Soma falsafa ili uwe na confidence sio kuuliza maswali ya namna hiyo.Kumpigia kura Papa haimvui uria wake wa Tanzania,kama unakosa mada heri ufanye mambo mengine ya maana.
 

Hahaaaaa
Kundi maslahi mna hali mbaya sana mwaka huu

Kumbe mna ugando namna hiyo vichwani mwenu? Sasa naanza kuelewa kwanini Mengi alipingwa na waislamu kina Lipumba,Sofia Simba,JK,...alipotoa yale majina yake.

Give me a break
 

Aibu nyingine kwa JK; yaani hawezi kujisimamia akakutana na viongozi wa dini mpaka makamu na waziri mkuu wawepo! Mbona wakati wanamlima Sitta kwenye NEC hawakuwakaribisha makamu na waziri mkuu!
 
Tatizo ndugu zetu nyie watoto wa mama mdogo mnalalama mno sijui lini mtaacha kulalamika. Rais muislam, makamu, muislam hata jaji mkuu ni muislam lakini bado mnalalamika tu. mpewe nini?
 

Moto ya Mbongo. Mimi sina matatizo yoyote na Pengo. Ila nimeuliza swali na nimeweka point zangu za kushuku kuhusu uraia wake kutokana na mafunzo niliyoyapata hapa Ukumbini kuhusu VATICAN.
sasa naomba na wewe ulete hoja zako kueleza kuwa swala langu halina mashiko.
 
kwa wakatoliki na wasio wakatoliki ni kweli kuwa polkarp kardinal pengo ana urai wa nchi mbili yaani vatican state na tanzania, kuna mikataba mingi ya kuhusu vatican state au holy see, leo nina haraka nitaweka bandiko hapa kumjibu mwenye hoja

Mwakimbi ndugu yangu nasubiri kwa hamu sana jibu lako.

Wale wote walionikashifu na kunitukana naomba wote tumsubiri Mwakimbi atupe darsa nanyi mjifunze kwani inaonekana hamlijui hilo ndio maana mnabaki kubwabwaja.
 

Djabu Da dude.

Sijaona jibu la kijinga kama hili. sasa labda nikuulize swali ja watu hao wanaoishi miaka 2-3 wenye haki ya kupiga kura kumchagua rais wanakuwa na uraia gani wakati huo?
Je wanaweza kuchaguliwa kuwa marais wa nchi hiyo ya kigeni kwao?
 
.

Nimefarijika Dr Hamza kwa majibu yako na kuweza kunielewa. hakika wewe umenifahamu haswa nini nilitaka kuuliza.

Nasubiri sana kutoka kwa uht nasriyah kwani naamini ataweka mambo yote bayana kisheria zaidi.

nawatakia Swaumu njema na lini mtakuja Tz
 
Re: Hivi Cardinal Pengo ni Mtanzania?
Ladies and Gentlemen of JF feel pity on Hafif because his IQ is not only zero but negative.

Wasp pole sana.

kama huna jibu ni bora kukaa kimya kuliko kufuka moshi.
 
..hivi kwanini Hafif na kundi lake wako so obsessed na Kanisa Katoliki na Kardinali Pengo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…