Pre GE2025 Hivi CCM huwa wanashindana na nani kwenye uchaguzi?

Pre GE2025 Hivi CCM huwa wanashindana na nani kwenye uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. CCM nao wanachekesha Sana aisee. Yaan eti nao wanajipanga Kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 mbona 2019 waliachiwa viti vyote nchi nzima?

2. Panic ya nn mwaka huu. Watulie kusubiri "kutangazwa" washindi bila kupingwa.
 
Hujawahi ona hata mtu ukimwambia mambo vipi. Anajibu tunapambana. Muulize anapambana nanani hahàa hamjui
Hao inawezekana wanashindana na wasio wajua
 
Back
Top Bottom