GE2025 Hivi CCM mnaakili kweli? Aliyevunja Katiba, anaamua kuibadilisha Kwa Masilahi yake Binafsi Imfae, CCM Wazalendo mko wapi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Yaani Rais Mwenyekiti CCM Taifa, aliyevurunda, anaamua kubadilisha vifungu vya Katiba viendane naye, Huu sindo Udikteta?.

Kikao gani Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, au Kikao Cha Halmashauri Kuu kipi, kilichokaa, kujadili hayo yanayoendwa Badilishwa??

Je yanayobadilishwa ni Kwa Faida ya Chama ??.au MTU Binafsi??.

Na kama ni faida ya Chama, Kwanini Wajumbe waiitwe Dodoma?.

Kama aliwatumia Wajumbe Dodoma kujipitisha ,kwann Sasa awakatae Wajumbe katika Suala nyeti, KATIBA KATIBA KATIBA??.

CCM mnaacha MTU anayepita KATIBA 'Kijitabu' awachezee namna hii??.
 
K Kesho Kuna jambo
 
Kibaya zaidi ni mwanamke,yaani mwanamke mmoja amekamata akili za wanaume na ndevu zao anazifinyanga anavyotaka na yenyewe yanakenua tu meno ā€œhiiihiiihiii mamaa mamaa,mama anataka hiki mama anataka kileā€

Stupidity kabisa yani,mijitu inaongozwa na njaa inaogopa akitoboa asiisahau kwenye ufalme wake yangekuwa yameweka njaa pembeni yasingetokea yanayotokea.
 
CCM huwa haichonganishwi kifala kama unavyodhani!
we pambana na maudenda wako yupo gerezani.
 
Kabadilisha kwa manufaa ya Kikwete na wastaafu wenziwe wezi.
 
Ni muda sahihi Mabeyo kutuomba radhi Watnzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…