Hivi CCM ni chama kikongwe kwa umri wake au kwa kufanya maamuzi yenye busara na hekima?

Hivi CCM ni chama kikongwe kwa umri wake au kwa kufanya maamuzi yenye busara na hekima?

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
7,567
Reaction score
9,037
Chama cha Mapinduzi(CCM) ni kikongwe barani Afrika kikifuatia chama ANC Cha Afrika Kusini kwa umri, Sasa cha ajabu chama Kikongwe kinakosa demokrasia hata ya kuruhusu watu kujitokeza na kugombea urais ili wanachama wafanye maamuzi, kama mtu amefanya vizuri kwanini asishindanishwe na ambao hawajafanya chochote ili awashinde ndani ya chama demokrasia ichukue mkondo wake ,hizi kauli za utaratibu lazima Rais amalize mihura miwili sio demokrasia kabisa ,yaani mpaka wanasema mtu achukue fomu anaanzia wapi?

Maana yake ni kuwazuia wenye nia ya kugombea,hongera chama kikongwe.Kila siku huwa Ni Mbowe dikteta hataki kuachia uenyekiti ,hebu chama kikongwe onesheni mfano wa demokrasia ndani ya chama chenu tuone, demokrasia Ni kuiishi kwa vitendo sio maneno matupu.
 
Punguza wasiwasi Mkuu wanaccm wanamwamini mgombea wao
Yaani hata kuweka wagombea wa kuzuga mnaogopa?Yaani katibu mkuu anatoa fomu kwa mtu mmoja tu halafu anaondoka na makao makuu ya nchi kabisa ndio nini sasa.
 
CCM ndio chama pekee kinachowawekeaga wananchigombea asiekubaliwa na wengi,
Yaani mtu Kama Mkapa anaweza akaawaamulia watu 45m Nani awe Rais wao,wamtake wasimtake yeye haangalii.
Watu hawana Uhuru wa kuchagua kabisa.
 
Mbona unakuwa mgumu kuelewa wewe mtoto !
Ukiona wanachama hawachukui fomu ujue wameridhishwa na mgombea wao
Kwahiyo we Pimbi wale wagombea arobaini na mbili was mwaka 2015 hawautaki tena urais?
 
[SUB]
IMG_20200617_195359.jpg
[/SUB]
 
Usiwe mjinga Wewe Mtoto
2015 alikuwa anastaafu Rais anatafutwa Rais mpya

Hata awamu ya pili ya kikwete kuomba ridhaa hakupata upinzani
Kwahiyo we Pimbi wale wagombea arobaini na mbili was mwaka 2015 hawautaki tena urais?
 
Back
Top Bottom