Elections 2010 Hivi CCM si wangeweka tu alama ya mzinga au bunduki kweye bendera yao tuu

Elections 2010 Hivi CCM si wangeweka tu alama ya mzinga au bunduki kweye bendera yao tuu

Perhaps they should add in a little red and white.

To give it a real symbol of 'power'.
 
kwa maana uchaguzi wa mwaka huu wame tuonyesha kazi yao

Wataweka tu wewe subiri JK azidi kuongeza Wanajeshi wastaafu kwenye Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu wakuu, Mabalozi nje ya nchi na Makatibu wakuu wa Mawizara....
 
90TWO_S.jpg90TWO_S.jpg90TWO_S.jpgView attachment TZ FLAG.bmp
 
Back
Top Bottom