Heeeeeeeeeeeeeee Tesha Capt??Nakishangaa sana chama cha mapinduzi CCM kinapataje nguvu yakuendelea na kampeni na wakati hatujui na wala wahajasema yuko wapi Polepole ina maana kampeni ni muhimu kuliko uhai wa Polepole? au ni dharau tu kwamba hakuna kitu watanzania tunaweza kufanya? hapo utaona kuna wasanii wataanza kuimba kwenye kampeni yaani ikitokea nchi hii ika kombolewa tunaanza na wasaniii, pia naendelea kuwashangaa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wana low understanding of politics.
Mtu unaenda kwenye kampeni kwa bei ya Tsh. 10000 halafu unaenda kuteseka miaka 5 sawa na kono la nyani wapo watanzania wenzetu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Hata mimi sijui mke wangu yupo wapi siku ya 4 hii naomba uchaguzi usimame.Nakishangaa sana chama cha mapinduzi CCM kinapataje nguvu yakuendelea na kampeni na wakati hatujui na wala wahajasema yuko wapi Polepole ina maana kampeni ni muhimu kuliko uhai wa Polepole? au ni dharau tu kwamba hakuna kitu watanzania tunaweza kufanya?
Hapo utaona kuna wasanii wataanza kuimba kwenye kampeni yaani ikitokea nchi hii ika kombolewa tunaanza na wasaniii, pia naendelea kuwashangaa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wana low understanding of politics.
Mtu unaenda kwenye kampeni kwa bei ya Tsh. 10000 halafu unaenda kuteseka miaka 5 sawa na kono la nyani wapo watanzania wenzetu wanaangamia kwa kukosa maarifa.