Unaongelea chama hakipo kwenye uchafuzi,mwenyekiti wake kaekwa kizuizini,hakifanyi mikutano,kwann usiongelee vyama 17 vilivyobaki ambavyo vipo kwenye ushindani na ccm?Maana viongozi wao wote waandamizi walikuaga hawana shughuli zozote za kiuchumi za kujipatia kipato na kwahivyo walitegemea zaidi kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.
Hivi wale wangwana matapeli na ombaomba wa kisiasa wapo kweli? na wanajishughulisha na nini kwasasa tangu kusambaratika kwa chama chao na kitega uchumi chao kuingia mchanga?
Idadi yao nchi nzima wanaweza kufika mia5 kweli kwasasa?π
Mungu Ibariki Tanzania
Wana CCM wamekata tamaa gentleman, wamegoma kwenda hata mikutanoni. Imebidi mgombea atumie wanafunzi, unadhani sababu ni nini gentlemanMaana viongozi wao wote waandamizi walikuaga hawana shughuli zozote za kiuchumi za kujipatia kipato na kwahivyo walitegemea zaidi kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.
Hivi wale wangwana matapeli na ombaomba wa kisiasa wapo kweli? na wanajishughulisha na nini kwasasa tangu kusambaratika kwa chama chao na kitega uchumi chao kuingia mchanga?
Idadi yao nchi nzima wanaweza kufika mia5 kweli kwasasa?π
Mungu Ibariki Tanzania
Relax gentleman,Unaongelea chama hakipo kwenye uchafuzi,mwenyekiti wake kaekwa kizuizini,hakifanyi mikutano,kwann usiongelee vyama 17 vilivyobaki ambavyo vipo kwenye ushindani na ccm?
Wana CCM wamekata tamaa gentleman, wamegoma kwenda hata mikutanoni. Imebidi mgombea atumie wanafunzi, unadhani sababu ni nini gentleman
Ushatumiwa afu 7?kua na adabu kwa wadau wa JF kipepe na ikiwa uko pointless huna haja ya kuja kumbwelambwela jukwaani π
UnawashwawashwaMaana viongozi wao wote waandamizi walikuaga hawana shughuli zozote za kiuchumi za kujipatia kipato na kwahivyo walitegemea zaidi kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.