Hivi Chadema masalia wapo, na wanajishughulisha na nini kwasasa?

Wapo idadi yao inaweza fika elfu 17 hivi.
Kazi kubwa walionayo sasa nikukaa mitandaoni wakisubiri millard ayo apost waka comment,
JF mtu aandae uzi wake safi wavuruge huku wakisubiri hadithi za mwendomwendo na Mrs kimambi ili waje watusimulie.
 
mkuu kongole umegonga mulemule, sahivi siwasikii kabisa wakisema no election
 
Sisi tunazungumzia watu wanaotolewa mkoa mmoja kupelekwa mko mwingine kwa usafiri wa treni ili kujaza uwanja je hiyo ni haki?
 
UTOTO HUO
WAZA UTAITETEAJE NCHI IWE INA HAKI NA KULETA MAENDELEO
 
Tunajishughulisha na kuangalia report ya RA kama ilivyoainishwa na HP, lakini pia tunaangalia report ya Gwajima na madhara yake.
 
Tunajishughulisha na kuangalia report ya RA kama ilivyoainishwa na HP, lakini pia tunaangalia report ya Gwajima na madhara yake.
hali zenu za kiuchumi zipoje kamanda?, vizinga mnapigia wapi saivi?

halafu naskia msosi mnapikia ofisini kwasasa ni kweli?πŸ’
 
Sisi tunazungumzia watu wanaotolewa mkoa mmoja kupelekwa mko mwingine kwa usafiri wa treni ili kujaza uwanja je hiyo ni haki?
kuimarishwa kwa miundombinu ya kisasa kutarahisisha sana maendeleo ya usafirishaji na biashara.

hivi sasa,
ukikosa kuhudhuria mkutano wa kampeni za Rais Samia Suluhu Hassan dar es salaam au morogoro basi unaweza kwenda kuhudhuria mkutano huo Dodoma na kisha kurudi dar es salaam siku hiyo hiyo gentleman.

au kuna makosa hapo?πŸ’
 
Machawa Mama ana lalamika mnaongelea chadema tu
 
Ila jentroman unajidhalilisha sana hujui tuu
 
Imeupiga mwingi
 
Relax gentleman,
jambo hili limekuja sio kwa ubaya, ni katika kujiridhisha tu wadau wangependa kujua maisha ya makanjanja wa kisiasa yapoje kwasasa πŸ’
Watu makanjanja ndio mnatka kujua hali zao,nashindwaje kukuita na ww ni kanjanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…