Hivi CHADEMA wamejitoa kwenye uchaguzi au wameondolewa?

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
53
Reaction score
67
Jamani naomba kuuliza mimi sijaelewa. Chadema wametolewa kwenye mchakato wa uchaguzi au wameondolewa?

Lipi sahihi kusema wa meondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi. Au kusema wamejiondoa kernye mchakato wa uchaguzi
 
Wamejitoa kupinga mfumo kandamizi.

Kujitoa huku ni kutuma salamu yenye ujumbe mzito kwa watawala, hivyo kama watawala watapuuza chadema, basi tumekubali kupoteza yote kwa ajili ya haki.

kumbe mtu mwenye atastawi, ijapokuwa ni maamuzi magumu na mazito Mungu ataipigania Chadema
 
Jamani naomba kuuliza mimi sijaelewa. Chadema wametolewa kwenye mchakato wa uchaguzi au wameondolewa?

Lipi sahihi kusema wa meondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi. Au kusema wamejiondoa kernye mchakato wa uchaguzi
WAMEJITOA
 
Huwezi kupinga mfumo kandamizi ukiwa nje ya mfumo kandamizi.Kinyume chake unabariki huo mfumo kandamizi.Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…