Hivi Chadema wana Mtunza Hazina kweli kama ilivyo CCM na ACT Wazalendo?

Hivi Chadema wana Mtunza Hazina kweli kama ilivyo CCM na ACT Wazalendo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani?

Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani?

Kwako CPA Ruge

Nimekaa pale 🐼
 
Kwa maneno mengine, unatilia shaka hata reports za CAG? Halafu sio CAG mmoja, Mzee Outu, profesa wa Tanga na hawa 2 waliopita juzi wote umekua na mashaka nao? Nani sasa tumwamini?
Halmashauri zinazopataga Hati Safi ndio zinaongoza Kwa madudu 😂
 
Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani?

Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani?

Kwako CPA Ruge

Nimekaa pale 🐼
Mweka hadhina ccm!? Bro unaishi Nchi gani, chama tawala,ambao hawahojiwi na yeyote, mweka hadhina wa nini?kwani hadhina ya BOT ya nini?! Hv ccm unawajua unawasikia, ni, wabaya kuliko moto unaounguza California sasa hv
 
Back
Top Bottom