johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CAG anapitia mahesabu ya Chadema na haijawahi kuwa na hati chafu. Ushakunywa pombe zako chafu chafu unaanza fujo.Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani?
Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani?
Kwako CPA Ruge
Nimekaa pale πΌ
Ficha upumbavu wakoNauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani?
Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani?
Kwako CPA Ruge
Nimekaa pale πΌ
Halmashauri zinazopataga Hati Safi ndio zinaongoza Kwa madudu πKwa maneno mengine, unatilia shaka hata reports za CAG? Halafu sio CAG mmoja, Mzee Outu, profesa wa Tanga na hawa 2 waliopita juzi wote umekua na mashaka nao? Nani sasa tumwamini?
Nafikiri yanasimamiwa na jamaa fulani anaitwa Mremaπ...Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani?...
Hauhitaji kupanic walipeni Posho hao Watoto wanaolala mitaroni πππFicha upumbavu wako
Yule anayepandaga Chopa na Mwamba? ππNafikiri yanasimamiwa na jamaa fulani anaitwa Mremaπ
Nadhani ndio huyo huyo. Inawezekana vile vile anapenda kunywa mbegeπYule anayepandaga Chopa na Mwamba? ππ
Mweka hadhina ccm!? Bro unaishi Nchi gani, chama tawala,ambao hawahojiwi na yeyote, mweka hadhina wa nini?kwani hadhina ya BOT ya nini?! Hv ccm unawajua unawasikia, ni, wabaya kuliko moto unaounguza California sasa hvNauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani?
Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani?
Kwako CPA Ruge
Nimekaa pale πΌ
Nani huyo?Mwenyekiti ndo mtunza hazina
Hati safi halafu zina madudu! Sijaelewa so bado unatilia shaka uadilifu wa CAG wote waliopo na waliopita?Halmashauri zinazopataga Hati Safi ndio zinaongoza Kwa madudu π