Hivi unajua Ndesamburo ana majumba mangapi Mayfair London?
Hivi unajua Ndesamburo ana majumba mangapi Mayfair London?
nilini NDESAMBURO alimilikishwa mamlaka ya ulaji katika taasisi za umma. kweli UPPE bado inatutafuna, yaani mpaka leo hujui kwanini bilioni moja ya chenge kama mtumishi wa umma ilizua zogo , wakati huohuo Mengi au ndesa wana mabilioni Bank,Hivi unajua Ndesamburo ana majumba mangapi Mayfair London?
Hiyo CRB hatukuwahi kusikia, habari hii itakuwa mpy. Vipi ile benki mpya iitwayo 'Bank M' siyo mmoja wao?Ama kweli kama kuna mambo yanatendeka hili lilinipita kabisa .Leo hapa mjini Moshi kuna mtu kani habarisha juu ya Chenge kuwa na Bank na iliitwa Chenge Rural Bank ama CRB , na mie sikuwahi kulijua hili .Je wewe umesha wahi kulijua hili ? Nifungueni macho tafadhali
Hiyo CRB hatukuwahi kusikia, habari hii itakuwa mpy. Vipi ile benki mpya iitwayo 'Bank M' siyo mmoja wao?
From your words above: For you is a hero!Huyu jamaa pamoja na wizi is a big investor in stocks and other securities. Yuko bar mpaka majogoo lakini sio kama wazee wengi wakibongo.. The money he stole, he invested. They will never ever ever be able to do anything to him.. He is a big time investor. Habari ndio Hyooo..