Hivi cheo cha Chief Connector huko CCM anacho Kulwa Kikumba aka Dude peke yake au kiko hadi taifani?

Ukikutana na Kulwa Kikumba kwenye corido za Lumumba hujitambulisha kama Chief Connector na kwamba kama unahitaji fursa ni lazima upitie kwake.

Ndio nauliza hao machief connector wapo hadi taifani au ni Dude pekee?

Kazi Iendelee!
Bila kumcheki huyo hutapata cheo chochote hapo utaishia kufuta vumbi tu , muone haraka sana
 
Ukikutana na Kulwa Kikumba kwenye corido za Lumumba hujitambulisha kama Chief Connector na kwamba kama unahitaji fursa ni lazima upitie kwake.

Ndio nauliza hao machief connector wapo hadi taifani au ni Dude pekee?

Kazi Iendelee!
Huyu babu yupo kweli?
 
Back
Top Bottom