johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndiyo wanawaleta akina SabayaUkikutana na Kulwa Kikumba kwenye corido za Lumumba hujitambulisha kama Chief Connector na kwamba kama unahitaji fursa ni lazima upitie kwake.
Ndio nauliza hao machief connector wapo hadi taifani au ni Dude pekee?
Kazi Iendelee!
Huyo huyo bwashee!Dude wa bongo daslam
Mi sio Bwashee aisee wee BwasheeHuyo huyo bwashee!
Bila kumcheki huyo hutapata cheo chochote hapo utaishia kufuta vumbi tu , muone haraka sanaUkikutana na Kulwa Kikumba kwenye corido za Lumumba hujitambulisha kama Chief Connector na kwamba kama unahitaji fursa ni lazima upitie kwake.
Ndio nauliza hao machief connector wapo hadi taifani au ni Dude pekee?
Kazi Iendelee!
Hahahaaaa....... .!Bila kumcheki huyo hutapata cheo chochote hapo utaishia kufuta vumbi tu , muone haraka sana
Mjini mipango!Mzee wa maconnection 🤣🤣
Miaka yote umefanya kazi ya uhudumu CCM hayo yote huyajui?Ukikutana na Kulwa Kikumba kwenye corido za Lumumba hujitambulisha kama Chief Connector na kwamba kama unahitaji fursa ni lazima upitie kwake.
Ndio nauliza hao machief connector wapo hadi taifani au ni Dude pekee?
Kazi Iendelee!
Hata ile tenda yako ya mbege tutamtumia CC Dude!Miaka yote umefanya kazi ya uhudumu CCM hayo yote huyajui?
TetetetetHata ile tenda yako ya mbege tutamtumia CC Dude!
Mara nyingi wahudumu wa usafi huwa hawashirikishwi kwenye mambo ya MsingiMiaka yote umefanya kazi ya uhudumu CCM hayo yote huyajui?
Huyu babu yupo kweli?Ukikutana na Kulwa Kikumba kwenye corido za Lumumba hujitambulisha kama Chief Connector na kwamba kama unahitaji fursa ni lazima upitie kwake.
Ndio nauliza hao machief connector wapo hadi taifani au ni Dude pekee?
Kazi Iendelee!
hahah basi akupe fursa japo ya ukatibu wa mbunge Juliana Shonza.Huyo huyo bwashee!
ndiyo amefufuka baada ya kudanganywa na Dude kuwa atamunganishia uDC wa Kisarawe.johnthebaptist upo hai kweli?