mpigamsuli, Masatujr sidhani kama mmekomaa kiakili katika kuwaza na kutoa hitimisho hata mtoto wa kidato cha pili angeweza kusema kama nyinyi shirikisheni ubongo katika kutoa maoni yani sioni usomi wenu mnavyoutumia katika kuanalyse issue Masatujr kwa umri huo napaswa nikupe shikamoo lakini...