Hivi Corazon Kwamboka Ndiye Dada Mwenye Makalio Makubwa Afrika?

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Nimekuwa nikipitia pitia kwa mitandao tofauti nikisoma habari kuhusu huyu wakili Corazon Kwamboka na jinsi waandishi tofauti wa blogs wana maoni kumhusu.


Well, yaonekana kuwa Corazon Kwamboka ndio jina jipya na latest katika blogsphere. Infact amekuwa akipigwa darubini kuanzia blogs za afrika mashariki hadi za afrika magharibi.

Kuhusu nani ndiye mwenye makalio makubwa Corazon Kwamboka amechukua nafasi ya kwanza huku blogs nyingi za afrika magharibi zikimpa jina 'the lady with the biggest UKWU in Afrika.

Hii ni kuonyesha kuwa Corazon sahizi amevuka level nyingine. Lawyer, model na socialite zote kwa wakati mmoja.

Dada aliyeaminika kuwa na makalio makubwa afrika Matilda Hipsy wa Ghana naona kesi yake ishatupiliwa mbali manake huyo ndiye awali alikuwa akiiongoza himaya ya kuitwa big booty lady.

Cheki picha za Corazon halafu umpime




 
Siyo kweli... wanampaisha tu.
wapo waliojaaliwa zaidi tena huyo anaeza shika namba ya 1001.
 
Kuna mademu buguruni wana makalio hatari, huyu mbona si kitu
 
Siku moja nilikuwa fukwe fulani pande za USA nikamuona live Masogange na bila yy kujua kwamba ni Mtz mwenzie niliongea na kumsifia kwa alichojaaliwa,,,Kweli mungu kaumba dunia na vilivyomo ndani yakee Ashukuriwe muumba mbingu na ardhi..
 
Hana lolote huyo kuna mademu hapa bongo wanamizigo bana!
 
Kuna changu mmoja alipenda sana kutembelea new afrika hotel na zamani joly huyu akiingia pahala hadi wanawake wenzake wana scream na kuchekea chini wakati sie midume tukidbaki kuduaa si mchezo!mzigo mzigo hasa waweza weka chupa ya bia isidondoke!hawa kina corazon,masogange hamna kitu ni media tu zinawakuza
 
damn that ass though is big n shapely.i wunt mind tapping
 
Yaweza kuwa mkombozi wako kama una moyo wa dhati kufanikiwa
Click hii link hapa chini
Job4Living.com Earn 5$-10$ per 30 seconds tasks, Earn 1000$ monthly - Online Job for jobless people
 
Mbona hayo ya kawaida sana, tena sana. Kuna mdada anaitwa chaupele, tandale kwa tumbo ana makalio hatari utadhani toka azaliwe hajawahi kwenda haja kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…