hivi daktari msichana akifanya mapenzi siku za hatari(kupata mimba) afanye nini ili mimba isitungwe?

hivi daktari msichana akifanya mapenzi siku za hatari(kupata mimba) afanye nini ili mimba isitungwe?

TONGINDI

Senior Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
174
Reaction score
32
naomba kama wewe siyo daktari usiandike chochote!
sihitaji porojo za makanjanja!
 
naomba kama wewe siyo daktari usiandike chochote!
sihitaji porojo za makanjanja!

acha uzinifu utakufa wewe....matangazo yote haya bado unapigwa kavu tu...kesto lite hizo zitawatokea puani shauri zenu
 
Jinsi ulivyoweka swali lako...........duh!
Mie nilijua unauliza...... "iwapo daktari mwanamke akifanya mapenzi siku za hatari afanye nini ili mimba isitunge......"
 
Ndani ya masaa 72 awe amemeza emergency contraception ambazo anaweza kununua katika duka la dawa, AMA emergency loop to inhibit implantation kabla ya day 5.
 
kuna tofauti gani kati ya daktari msichana na msichana?
 
Ndio maana tume ya katiba kwenye uzi mmoja amewaita madr wa kuchoma sindano.Yaani wewe dr hujui ufanye nn tafuta emergency contraceptive/morning after pills or commonly known as 72 hrs as the name suggest isiwe imezidi masaa hayo la sivyo ni bora usimeze
 
pumbaf acha tamaa, si usubiri awe safe au 2mia kondom, unataka umpe mavidonge ili anenepe afu umkimbie, sheinz type!
 
Ndio maana tume ya katiba kwenye uzi mmoja amewaita madr wa kuchoma sindano.Yaani wewe dr hujui ufanye nn tafuta emergency contraceptive/morning after pills or commonly known as 72 hrs as the name suggest isiwe imezidi masaa hayo la sivyo ni bora usimeze
think twice mkuu sio unakurupuka

aliyeuliza swali lengo lake ni kuonyesha tu kwamba kamtia daktari, nothing more'

hata nesi hawezi kuja hapa kuuliza afanye nini

its ridiculous
 
think twice mkuu sio unakurupuka

aliyeuliza swali lengo lake ni kuonyesha tu kwamba KAMTIA daktari, nothing more'

hata nesi hawezi kuja hapa kuuliza afanye nini

its ridiculous

Hapo nilipoweka heruf kubwa hujaeleweka mkuu.
 
naomba kama wewe siyo daktari usiandike chochote!
sihitaji porojo za makanjanja!
Mtambuzi, nafikiri sisi makanjanja tuliambiwa tusicomment but naomba kama mwl nimweleweshe kuwa alitakiwa aipunctuate manake ilivyokaa ina maanisha kitu tofauti kabisa na anachotaka yeye.
 
Last edited by a moderator:
angekunywa morning after pills,

ushauri wa bure, kama huwezi kudhibiti mihemko yako, tumia condom
 
Back
Top Bottom