kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Alikuwa anakuruka huyo ukiwa umelala😂Nilikua siamini mpaka yalivonikuta, wife alizaa kiboss tu ila ni kama nilipatata huo uchungu maana nilihaha hatari.
NB HAKUNA PROOF YA KISAYANSI, HII IMEKAA KIMKAKATI TU (CONSPIRACY)
Umeona sasa mambo hayo? 😂😂😂🤔Alikuwa anakuruka huyo ukiwa umelala😂
Nawasalimu ndugu zangu. Natumai ni wazima.
Ningependa kuuliza jambo kwani najua humu hawakosekani wajuzi wa mambo. Hivi Uchungu kwa mke anayekaribia kujifungua unaweza kumhusisha na mume?
Yaani dalili ambazo anapata mume zipo kwenye kuashiria kwamba na mkewe anakaribia kujifungua?