Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daraja la kigamboni au lile la ubungo au kimara mkuu?Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........?????
bugurunidaraja la kigamboni au lile la ubungo au kimara mkuu?
hatari sana halafu wanaojiwa wanachekacheka tuha haahaha hatari
wanaona wapo kazini mkuuhatari sana halafu wanaojiwa wanachekacheka tu
Ha,ha,haaaa....wanaenda kuchungulia akina nani?Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........?????
Sure!dar kunamengi ya kushangaza ukisema ushangae na ww utajikuta unashangaza i have been through that believe me kikubwa ww fanya yako.
hahaaaaaSure!
Na akisikia kuna watu hawalali wanachungulia wenzao madirishani!!?
Vya kushangaza Dar havijawahi kuisha!