Hivi Dar kumelaaniwa?

Bhuahahahahaha wanaume wa daslam wana matatizo kwa kweli....anaenda kupiga chabo ili apate stimu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli mtu anatoka nyumbani kwake asubuhi anenda kukaa chini ya daraja kuchungulia kina dada .........?????
Ha,ha,haaaa....wanaenda kuchungulia akina nani?
Tukisema wanaume wa dar...mnakasirika,haya kila kheri
 
dar kunamengi ya kushangaza ukisema ushangae na ww utajikuta unashangaza i have been through that believe me kikubwa ww fanya yako.
 
dar kunamengi ya kushangaza ukisema ushangae na ww utajikuta unashangaza i have been through that believe me kikubwa ww fanya yako.
Sure!
Na akisikia kuna watu hawalali wanachungulia wenzao madirishani!!?
Vya kushangaza Dar havijawahi kuisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…