Hivi Davido Na Ommy Dimpoz Ni Ndugu? Mbona Wana Fanana Sana.

kiximi

Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
9
Reaction score
9
Kama umeshawahi kuwatazama wawili hawa kwa ukaribu utajua nini nasema, wamefanana mno kuanzia Dimpoz mpaka ufupi, Naomba kujua kwa wanaofahamu kama wawili hawa wana undugu wowote...

Na je nani kati ya wawili hawa anajua kuutumia ufupi wake kwenye mavazi/fashion?

Nawasilisha.
 
babu aliyemzA babu ambaye alimzaa shangazi wa babu yake babu wa babu yule ambaye alikuwa baba mdogo wa babu mzaa babu wa babu yake bibi mzaa bibi aliyekuja kumzaa babu mzaa babu wa davido alitokea Kigoma.
Sasa huenda kuna uhusiano wa kigenetically ni chimbuko la mkuyati mmoja
 
Maskini na tajiri hawawezi fanana. Labda yy ndio afanane na DAVIDO aka mr OBI
 
Mmoja juzi kamnunulia gari demu wake huko kwao Nigeria huyu wetu anasubiri kununuliwa yeye gari!!.. hapo mfanano wao upo wapi?.
Huyu wetu anasubiri kununuliwa gari na nani? alikiba au?
 
Usimfananishe Davido na macho.ko wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…