kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Ndugu zangu nataka kuuliza kitu
Hivi dawa za akili zipo kweli?
Ilikuwa mwaka 2015 kuna rafiki yangu fulani alichukuwa kitabu cha baba yake cha madawa tukawa tuna soma kitabu icho kwa bahati nzuri tukaona dawa ya akili ambayo vitu vyake vilikuwa raisi kupata. Mimi kwa kupenda kwangu kujaribu nikatafuta vitu vile nikatengeneza ile dawa ili ni jaribu nilifata taratibu zote nikatengeneza ile dawa.
Baada ya wiki kazaa nikaona nimekuwa mtu mmoja sijui ndo ni seme ili kuwa dawa au nilijikuta nimekuwa mtu ambaye napenda saana kusoma vitabu saana nikawa sipendi kwenda shule tena nilikuwa form 3 kipindi icho niliacha shule kabisa nikawa sipendi shule ila nilipenda saana kujifunza vitu vingi vya dunia. Na nikawa navielewa kabisa bila kufundishwa na mtu na kuna kipindi nilikuwa na fikiri tu kitu fulani mfano mtu akiwa mgonjwa akili yangu ikifikiri huyu atapona na kitu fulani na kweli tukimpa kitu icho ana kuwa sawa kabisa
Lakini sasa hivi nina miaka miwili nimekuwa sijielewi kabisa yaani mpaka nina fika kipindi na shindwa kufikiri vitu vya maana yaani kwa kifupi nimepungukiwa na akili tofauti na mwanzo. Nimekuwa mtu wa ovyo kabisa yaani kuna kipindi nafikiri kabisa ninayo yafanya sio sawa inatakiwa nifanye ivi nikitaka kufanya vitu vile nilivyo ona ni sahii na vya maana kwangu na sau kabisa sijui Nimekuwa je nahisi nimerogwa kabisa
Nipo apa najiuliza hivi ile dawa ya akili ilikuwa inafahya kazi kweli maana sielewi kabisa