tracy martins JF-Expert Member Joined Aug 5, 2014 Posts 3,535 Reaction score 1,482 Mar 14, 2016 #1 Habari zenu wakuu, Hivi watu hawa wako wapi? Dennis Mdoe alikuwa mchezaji wa Yanga na Nyota Nyekundu, Bakari Idd alikuwa mchezaji wa Majimaji na baadae Simba Sports na Nteze John alikuwa Pamba na Simba Sports. Wako wapi sasa hivi?
Habari zenu wakuu, Hivi watu hawa wako wapi? Dennis Mdoe alikuwa mchezaji wa Yanga na Nyota Nyekundu, Bakari Idd alikuwa mchezaji wa Majimaji na baadae Simba Sports na Nteze John alikuwa Pamba na Simba Sports. Wako wapi sasa hivi?
Easyway JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 2,606 Reaction score 3,710 Mar 14, 2016 #2 Nteze yupo USA ni mchungaji wa kanisa la kilokole.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Mar 14, 2016 #3 Sasa hivi wanachezea Manchester United ya Njombe.
M mwembemdogo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 2,282 Reaction score 1,252 Mar 14, 2016 #4 Makada wa CCM
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 14,809 Reaction score 11,825 Mar 14, 2016 #5 Nteze John Lungu Shavu Dodo Baada ya Soccer Maisha Marekani.