Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Vazi la Sitara Sana Kwa mwanamkeHabari Tanzania !
Haya Madera wanaovaa Wamama na Wadada ndio Mavazi ya Taifa au vipi maana wananchi wanayakubali kiaina.
Ahsante.
Waruhusu sasa liwe vazi rasmi la Taifa; Watu wavae hata maofisini.Vazi la Sitara Sana Kwa mwanamke
Haaaahaaaaa lipewe ruzuku liuzwe bei cheeeeMwanzo ilikuwa pwani, siku hizi hata ukija huku bara wanayavaa sana.
Kuvaa dera sio kazi kazi kulishika.