Hivi Diamond anajiskiaje akiwa anaisikiliza "Utu" ya king Kiba

Kungarochi

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
271
Reaction score
601
Hivi Diamond akiwa peke yake sebuleni akasikia ngoma kali ya mwaka huu "UTU" ya King Kiba ikipigwa kwenye home theatre kali za sony anajikiaje, ni anapitia kwenye wakati gani maana lile jiwe ni shida.

King Kiba kajua kumpiga domo na kitu kizito kichwani kwa kwl 🤣🤣🤣🤣.
 
Tutafute za kwetu Mond kashatimiza ndoto zake
 
Ila kiukweli ipo vizuri kiuandishi.
Hata mimi mtumishi wa Mungu nasikiliza sana.
 
Kama kwenu nyie mnatumia Home theater kupigia muziki basi mleta mada nakushauri tafuta pesa sana ikusaidie hata kupata exposure achana na ushabiki maandazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…