Hivi Diamond anamkomoa Nani?

Hivi Diamond anamkomoa Nani?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he has a family now , hata kama ameachana na mama watoto zake , mambo anayoyafanya kwenye mitandao ya kijamii ni fedheha kwa familia yake na kwake mwenyewe . Pengine anaona kaishika serikali mkononi hawana la kumfanya, Ila akumbuke we all reap what we sow, siku atakutana na pigo takatifu ndipo atakapojua kuwa pesa na umaarufu sio kitu .

Kama wazazi wake wameshindwa kumkanya na Serikali imeshindwa kumkanya, basi dunia ipo itamfundisha vizuri tu.
 
unajua diamond platnumz jana kapeleka mtu india kwa matibabu na gharama ni milioni 50

kabla hujamponda jiulize we umechangia shilingi ngapi binadamu mwenzako atibiwe??

unajua kama last week diamond kagawa bima za afya ngapi? na mitaji kwa kina mama wangapi?

unajua hizo hela diamond anazisaka vipi??

vituko kama hivyo anavyopost ndivyo vinaleta hela... maana anapata attention za mashabiki
 
Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he has a family now , hata kama ameachana na mama watoto zake , mambo anayoyafanya kwenye mitandao ya kijamii ni fedheha kwa familia yake na kwake mwenyewe . Pengine anaona kaishika serikali mkononi hawana la kumfanya, Ila akumbuke we all reap what we sow, siku atakutana na pigo takatifu ndipo atakapojua kuwa pesa na umaarufu sio kitu .

Kama wazazi wake wameshindwa kumkanya na serikali imeshindwa kumkanya, basi dunia ipo itamfundisha vizuri tu.
Ukishasema Mungu atamuonesha au dunia itamuonesha huo ndio mwisho wa kufikiri kwako..
 
Mwenzake Davido kapost Hivyo japo[emoji652] [emoji652]
Screenshot_20181014-215221.jpg
 
unajua diamond platnumz jana kapeleka mtu india kwa matibabu na gharama ni milioni 50

kabla hujamponda jiulize we umechangia shilingi ngapi binadanu mwenzako atibiwe??

unajua kama last week diamond kagawa bima za afya ngapi? na mitaji kwa kina mama wangapi?

unajua hizo hela diamond anazisaka vipi??

vituko kama hivyo anavyopost ndivyo vinaleta hela... maana anapata attention za mashabiki
Ametusaidia bodaboda Huku tandale na matank ya. MAji shulen
 
Tununu aliona kuzaa ndo kigoma mwisho wa reli eeeh.

Alivyokua anajishaua pussy so good akajua anamkomesha zari kumbe anajikomoa mwenyewe, Mara kumi zari familia inamheshimu, Ila bibie Ana gundu kwa ndugu wa domo mpaka domo mwenyewe hamtaki na uchawi kushikwa juu, yani tununu jaman wamejua kumnyoosha aiseh, sasa hiv kapo kimya 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom