Hivi Diamond anamkomoa Nani?

Kafanyaje...Hivi nyie mnajua kila mtu hapa anafuatilia mambo ya insta au social media huko?leteni habari kamili kafanyaje na sio habari za juu juu tu halafu mnaconclude...

Kapost video anashikwa Shikwa na mwanamke
 
kwa hiyo hizo ndizo tiketi za kufanya uchafu?
zero brain wewe
 
si kuna taarifa kwamba tayari Dally Kimoko amemtembelea ndio maana Zari akaondoka? Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu, Mambo mengi ya kipuuzi anayoyafanya kwa sasa tumsamehe gitaa la Kimoko sio mchezo
ohooo Kimoko ndio nani?
 
Diamond hana Amani tangu waachane na zari pia watu wanampuuza, sasa anafanya huo ujinga kujitaftia Amani ya moyo.akifikiri ana waumiza hamisa na Zari, bora ajiheshimu hamna asiyefanya hyo kitu
wanaume huwa hatukumbuki ma x ,lands wa dar ,mwanaume akipata kapyaa,ukimwambia zari anakusalimu atajib ''ndo nani huyo mwenzangu''
 
Mbona una wewe seka kwenye video anayo shikwa yule ni Zari ww ime kuuma nn wao kua pa1 wakati na watoto wamesha zaana ile tunaita kupasha kiporo
 
Diamond hana Amani tangu waachane na zari pia watu wanampuuza, sasa anafanya huo ujinga kujitaftia Amani ya moyo.akifikiri ana waumiza hamisa na Zari, bora ajiheshimu hamna asiyefanya hyo kitu
Wanampuuza unaushahidi au hivi unayo Insta au unafata mkumbo mbona meme kibao watu wanampost diamond huko kupuuza unakokuongelea wewe ni wapi.
 
Mbona povu babu ?
Kuna kitu nyuma ya pazia zaidi ya haya unayosema?
 
Mwache awakaze tu wakati hakuwa na hela alikuwa anashibia kwa macho na ninyi mnamwambia atafute hela sasa kazipata mnamsimanga tena,Mimi nazisaka sasa hivi nimizipata tu nakula huku nikizibua na mitalo tu
 
Babuu ebu niondolee ushamba wako hapa , pesa wanazo wakina Jay z na wametulia na ndoa zao , hata kama wana cheat wanafanya siri siri , Ila waswahili kama nyie na malimbukeni msioenda shule mkipata dunia inakoma

Una ugomvi personal na Diamond? kama ndio tafuta namna umuone myamalize,
 
Hafanyi kosa lolote, hajaoa, ana watoto kweli, bado anatafuta wa kuishi naye, na ni lazima u-test mzigo kabla ya kufanya maamuzi magumu, wasichana wengi hamjamuelewa tu..Je akikutaka wewe utakataa?!
 
Leo picha haijagoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…