Hivi Diamond anamkomoa Nani?

Babuu ebu niondolee ushamba wako hapa , pesa wanazo wakina Jay z na wametulia na ndoa zao , hata kama wana cheat wanafanya siri siri , Ila waswahili kama nyie na malimbukeni msioenda shule mkipata dunia inakoma
TUANZIE HAPA KWANZA.. UMECHANGIA SHINGAPIIIIIIIIIIIIIIIII KWA WAGONJWA WENZIO... mana kidogo we unanafuu unachangia maoni JF
 
Sasa Mkuu ungetuambia na alichofanya ili tujue huo upuuzi wake o kupost kazi zake ni ujinga?
 
si kuna taarifa kwamba tayari Dally Kimoko amemtembelea ndio maana Zari akaondoka? Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu, Mambo mengi ya kipuuzi anayoyafanya kwa sasa tumsamehe gitaa la Kimoko sio mchezo
Nani kampa gitaa hilo?
 
Babuu ebu niondolee ushamba wako hapa , pesa wanazo wakina Jay z na wametulia na ndoa zao , hata kama wana cheat wanafanya siri siri , Ila waswahili kama nyie na malimbukeni msioenda shule mkipata dunia inakoma
Leo umenifurahisha binamu
 
Umemaliza?
 
BADO MDOGO AKIKUA ATAACHA
 
Babuu ebu niondolee ushamba wako hapa , pesa wanazo wakina Jay z na wametulia na ndoa zao , hata kama wana cheat wanafanya siri siri , Ila waswahili kama nyie na malimbukeni msioenda shule mkipata dunia inakoma
Dunia aijawai kukoma, ila nyie wenye roho kama za chatu ndio mnaokoma
 
si kuna taarifa kwamba tayari Dally Kimoko amemtembelea ndio maana Zari akaondoka? Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu, Mambo mengi ya kipuuzi anayoyafanya kwa sasa tumsamehe gitaa la Kimoko sio mchezo
kimoko ndio nini
 
Walimwengu ndio wananishinda hapa..
Yaani wakati wa kusaka hela kila mtu anakukatisha tamaa na kukusema kwa kejeli lakini acha uushike mkwanja..

Ukipata mkwanja kila mtu anajifanya anajua kukushauri uzitumiaje pesa Zako..

Ushauri tu kwa mtoa maada : fanya upambane uupate ustaa na pesa kama mondi then uanze kuishi hayo maisha unayomshauri ayaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…