AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Wakuu habari!
Nipo kigamboni hapa na jamaa mmoja wa karibu sana na Rais wa Wasafi, Sio siri yale aliyonieleza nibaki tu mdomo wazi.
Kumbe siku hizi kuna tuzo za kununua kulingana na category anayotaka msanii, pia bei hutofautiana kutokana na status ya category anayotaka msanii kushinda.
My take: sasa unasema vip mziki wetu unakua wakati unatumia gharama nyingi kununua hizo tuzo? Kumbe ndiomana unakuta wasanii wakali na wenye nyimbo kali kama Wizkid hawana tuzo nyingi kumbe hawataki kujiingiza katika uharamia huo.
Nakumbuka hata Wizkid alipowahi kuhojiwa na soundcity television kuwa ni kwanini nyimbo zake ni kubwa lakini awards anazopata ni chache au hapati kabisa, ndipo wizkid akajibu " I can not involve my music in such stupidity business"
Pia tunapata funzo kuwa, mbali na ukali wa Ojuelgba ya wizkid lakini haina tuzo hata 3 ila huyu jamaa yetu ile Taarab yake na Khadija kopa unakuta imeingiza tuzo hata 7 kwa mwezi mmoja na nusu, kumbe nyuma ya pazia kuna kabiashara.