Hivi Diamond ni lini utaacha ulaghai wa kununua tuzo za huko nje?

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wakuu habari!

Nipo kigamboni hapa na jamaa mmoja wa karibu sana na Rais wa Wasafi, Sio siri yale aliyonieleza nibaki tu mdomo wazi.

Kumbe siku hizi kuna tuzo za kununua kulingana na category anayotaka msanii, pia bei hutofautiana kutokana na status ya category anayotaka msanii kushinda.

My take: sasa unasema vip mziki wetu unakua wakati unatumia gharama nyingi kununua hizo tuzo? Kumbe ndiomana unakuta wasanii wakali na wenye nyimbo kali kama Wizkid hawana tuzo nyingi kumbe hawataki kujiingiza katika uharamia huo.

Nakumbuka hata Wizkid alipowahi kuhojiwa na soundcity television kuwa ni kwanini nyimbo zake ni kubwa lakini awards anazopata ni chache au hapati kabisa, ndipo wizkid akajibu " I can not involve my music in such stupidity business"

Pia tunapata funzo kuwa, mbali na ukali wa Ojuelgba ya wizkid lakini haina tuzo hata 3 ila huyu jamaa yetu ile Taarab yake na Khadija kopa unakuta imeingiza tuzo hata 7 kwa mwezi mmoja na nusu, kumbe nyuma ya pazia kuna kabiashara.
 
Hayo maneno yako unaweza kuyathibitisha au unataka kuwa tia hasara wazazi na ndugu zako,kuendesha kesi ya kujitakia kwa ujinga wako?kuwa makini ukishakunywa gongo nenda kalale.
 
Hayo maneno yako unaweza kuyathibitisha au unataka kuwa tia hasara wazazi na ndugu zako,kuendesha kesi ya kujitakia kwa ujinga wako?kuwa makini ukishakunywa gongo nenda kalale.

Hivi unakielewa hata unachokiandika
 
Acha chuki za ajabu basi..
Panapostahili sifa papewe sifa.
 

Angepata kiba isingekua tuzo za kununua hahaa wabongo banaa
 

TUZO TANO(5)

(1) AYCA- Africa youth choice
Kwa kupost picha ya diamond (insta, facebook, au twitter) na kuandika hivi umepiga kura

@ayca_africa #AfricaYouthChoiceAward #AYCA2015
diamondplatnumz
✔Artist of the year
✔Best male artist

Vote pia kwenye website link
NOMINEES | AFRICA YOUTH CHOICE AWARD | I AM MADE IN AFRICA

==
(2) AEA - African entertainment awards USA Link
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Categories za diamond ni
✔Best male artist
✔Best male single
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(3) AFRIMA - All africa music awards. Link
Polls
Diamond yupo categories 4
✔Best male artist east africa
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best African Artist in contemporary

==
(4) AFRIMMA - Africa music magazine awards. Link
Nominees 2015 |
Categories 7
✔Best male east
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best collaboration
✔Afrimma video of the year
✔best dance video
✔Afrimma inspiration song (àlive)
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(5) MTV EMA - Mtv europe music awards. Link
base.mtvema.com/vote
Category ya
✔Best african act
Piga mara nyingi uewezavyo
 
Last edited by a moderator:

Sasa wewe Kilaza ojuelgba ni ya mwaka huu ulitaka MTV waiweke mwaka huu au ujui utaratibu wa tuzo za mziki
 
Wewe ni ----- nazi. wivu tu unakusumbua mwambie na huyo ali kibago akanunune km ndo hivyo
 
Tunashukuru sana kwa kuwa umeshanyooka we mtu ulikuwa unasumbua sana hapa jukwaani,unajua kwanini nakwambia umenyooka kuna kauli zako hizi za nyuma umeshazifuta, mchawi ndo mana anapata tuzo,freemason ndo mana anapata tuzo,anaiba nyimbo za wenzie ndo mana anapata tuzo na anategemea kollabo ndo mana anapata tuzo na sasa ananunua. HONGERA DIAMOND KWA KUTUNYOOSHEA HAWA WANAOTEGEMEA LIFTI YA MA-EX WAKO NDO WATOKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…