Hivi DNA Paternity test bei na utaratibu upo vipi?

a.k.a_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
292
Reaction score
113
Sijiamini nimeamua kufanya Paternity test kimya kimya ila sijui utaratibu
 
Em Leten Point Mdau C Kaulza Nae Ataka Kujua Jaman Life Is A Cycle Leo Kwake Kesho Kwako, Wenye Kujua Temeni Madin Basi
 
Hii kitu na mimi nataka kufanya kuna kabinti nimeambiwa ka kwangu ila kila nikiangalia pua sioni kama nafanana nako, wenye majibu jinsi ya kufanya tafadhali hasa inapokuwa siri
 
Nenda ofisi za ustawi wa jamii watakuelekeza. Hii shughuli itakiwa ianzie polisi ama ustawi (hasa kwa issue yako). Kama bei ipo vile vile ni 300000/=
 
Ni rahisi tu mpendwa unakwenda kwa wakili, anakuandikia barua kwenda kwa mkemia mkuu wa serikali kuomba vipimo vifanyike, utakwenda na mtoto, na majibu bi baada ya wiki tatu, kama unaswali waweza uliza nina uzoefu na mambo hayo, malipo ya upimaji ni kama laki tatu kwa vipimo. Kama kuna swali waweza uliza kupitia 0713554254
 
mkuu ukiona unaanza kupata wasiwasi kuhusu mtoto basi jua huyo sio wako...kama unataka kumlea wewe tu utapata thawabu kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…