Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Jul 2, 2013 #21 keshapitwa na wakati, kashindwa kwenye nyimbo za dini sasa kageukia matukio hahaaa wakati ushampa kisogo
keshapitwa na wakati, kashindwa kwenye nyimbo za dini sasa kageukia matukio hahaaa wakati ushampa kisogo
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jul 2, 2013 #22 dokii ni mjasiriamali kweli. Sijui kafaidika vipi na hii ziara
C Cyduu Member Joined May 30, 2013 Posts 39 Reaction score 3 Jul 2, 2013 #23 Vannele said: Yani mi ananikera kweli... Anavyocheza sasa kama mwehu... Midundo inapiga vingine na miondoko yake inaenda vingine... Upuuzi mtupu Click to expand... hahahaha daah kumbe umeona eeh ni shida yani
Vannele said: Yani mi ananikera kweli... Anavyocheza sasa kama mwehu... Midundo inapiga vingine na miondoko yake inaenda vingine... Upuuzi mtupu Click to expand... hahahaha daah kumbe umeona eeh ni shida yani
J Juliana90 Member Joined Jul 1, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Jul 2, 2013 #24 Majanga, sijabahatika kuuona
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jul 3, 2013 #25 Ndo nani huyo?