superwarkills
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 136
- 83
sasa kwa nini hii iitwe donati na hili andazi kuna utofauti gani kama yote ni matunda ya ngano?Yote ni matunda ya ngano
utofauti wake ni tundu tu?Tundu
kwani donati na andazi lipi tamu?sasa kwa nini hii iitwe donati na hili andazi kuna utofauti gani kama yote ni matunda ya ngano?
Ama kuna mwingine unaufahamu?utofauti wake ni tundu tu?
ndio maana nimeuliza? nifahamu vipi na huku kwetu usagara kuna maandazi tu,na hili naambiwa ni donati...Ama kuna mwingine unaufahamu?
sijawahi kula donati naliona kwenye picha tu,vipi mzee we umeshakula..kwani donati na andazi lipi tamu?
umewaza nini ?Hiyo picha imenifanya nimewaza sana
tunda gani ?!
!
Hivi Hili Tunda Likoje?
utamu wake andazi halioni ndani, Uzuri wa donati linakuwa kavu kavu ila andazi linakuwa linamafuta mafuta zaidi.sijawahi kula donati naliona kwenye picha tu,vipi mzee we umeshakula..
Dahhh....!!umewaza nini ?
lakini vyote si vinapikwa na mafuta ?utamu wake andazi halioni ndani, Uzuri wa donati linakuwa kavu kavu ila andazi linakuwa linamafuta mafuta zaidi.
lakini vina tofauti katika uandaajil
lakini vyote si vinapikwa na mafuta ?
ila mahitaji na ladha zinafanana au ?lakini vina tofauti katika uandaaji
zimefanyaje ?Donat na sambusa