Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Huyu mtu nimeanza kumsikiliza majuzi hasa kupitia youtube. Nimegundua ni kati ya watu ambao walikuwa na ufahamu wa hali ya juu sana. Sasa najiuliza tu, kweli kifo chake japo kilikuwa ni ajali ya ndege, ilikuwa ni kawaida tu? Najua kuna watu humu wana ile kitu Habibu B. Anga anaita security clearance, so wana inside information.