Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
wewe ndo mwenye shida ya masters, JK masters ya nini? itamsaidia nini kwa sasa? Hao maprofessors wenyewe wanatumwa na JK, au wewe unaishi nchi gani mwenzao? Wadhifa wake tu ni beyond PhD. So for JK have nothing to attain more including education status so as to achieve anything. LookJamani wakuu wote wa nchi wana honorary PhD tena siyo moja na siyo tu ya nchi hizi zinazoendelea kama Turkey au Kenya .. lakini katika itifaki hawaitumii kwani inayotambulika ni ile uliyoisotea... ukiitumia honorary unaonekana kujaribu kung'arisha CV kinyume cha achievements zako. Hiyo ya Kenya ndo mnaiona ya maana, na mnathubutu kusema eti hakupewa Annan na MKapa, kwani wao wanashida na PhD za kuremba CV kama JK wenu? Ala!!!
Kuna vitu vya kujivunia lakini siyo honorary PhD.. mwambieni kwanza JK apate hata hako ka Masters anagalau.. bwaaahahahaa!
Kinyesi, as usual, sasa kama hana shida nayo kwanini anajiita Dr.wewe ndo mwenye shida ya masters, JK masters ya nini? itamsaidia nini kwa sasa? Hao maprofessors wenyewe wanatumwa na JK, au wewe unaishi nchi gani mwenzao? Wadhifa wake tu ni beyond PhD. So for JK have nothing to attain more including education status so as to achieve anything. Look
wewe ndo mwenye shida ya masters, JK masters ya nini? itamsaidia nini kwa sasa? Hao maprofessors wenyewe wanatumwa na JK, au wewe unaishi nchi gani mwenzao? Wadhifa wake tu ni beyond PhD. So for JK have nothing to attain more including education status so as to achieve anything. Look
Nafikiri hapa tunachanganya,Udaktari wa kikwete ani wa heshima tu,amepewa kutokana na mchango wake katika masuala ya diplomasia,nadhani si lazima awe na masters ili aonekane amesoma,je umefuatilia alisoma nini digrii ya kwanza?
alitunukiwa na chuo kikuu cha kenyatta, kwa ujasiri wake wa kusuluhisha ugonvi wa kibaki na oginga 2008. chuo kikuu cha kenyatta hakimjui koffi anan wala wasaidizi wake mkapa na gracia .
macinkus
sawa Dr.Magulumangukama ni hivyo mbona siku hizi kila wakitaka kuandika jina lake kale ka prefix au mnakaitaje vile kanaanza dr Kikwete?hasa huyu Michuzi ndo anapenda sana hayo mambo...jamani Dr isichezewe hivi hivi tu jamani...