ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Hivi kweli DSTV pamoja na ukubwa walio nao wamekosa watangazaji kwa upande wa lugha ya kiswahili zaidi ya hawa wahuni wanao jiita watangazaji?
Watangazaji hakuna wanacho kifanya zaidi ya kupiga umbea tena ambao hauna uhusiano na mechi inayo endelea.
Yaani watangazaji hata majina ya wachezaji hawayajui.
Yaani mechi ni nzuri lakini ina poteza mvuto na msisimko kwa sababu yao.
Yaani haya majamaa yana kera sana.
Bora hata TBC.