Hivi DStv wamekosa Watangazaji kweli?

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Hivi kweli DSTV pamoja na ukubwa walio nao wamekosa watangazaji kwa upande wa lugha ya kiswahili zaidi ya hawa wahuni wanao jiita watangazaji?

Watangazaji hakuna wanacho kifanya zaidi ya kupiga umbea tena ambao hauna uhusiano na mechi inayo endelea.

Yaani watangazaji hata majina ya wachezaji hawayajui.

Yaani mechi ni nzuri lakini ina poteza mvuto na msisimko kwa sababu yao.

Yaani haya majamaa yana kera sana.

Bora hata TBC.
 

Msikilize Peter Drury hao watakupasua kichwa.
 
Kwani hujui Kiingereza??

Yaani niache kusikiliza kina Peter Drury Cc Alan smith nije kuhangaika na waswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…