nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Bahati ipo na inaanzia na umezaliwa familia gani hiyo ndio bahati kuu.Nimewasikia watu Wakisema dah huyu jamaa ana bati sana, hii ni mara baada ya kufanikiwa katika jambo fulani.
Hivi ni kweli watu wana bahati au ni kwa sababu ya kupambana
Luck is when meet a prepared mind. kupambana pia kwa namna fulani kuna attract bahatiNimewasikia watu Wakisema dah huyu jamaa ana bati sana, hii ni mara baada ya kufanikiwa katika jambo fulani.
Hivi ni kweli watu wana bahati au ni kwa sababu ya kupambana
Maisha yako yote, yaani hujitumi unategemea bahati?Bahati haikai sehemu yenye juhudi,ukitaka uwe na bahati kuwa mvivu.
cha kuongezea hapo huwezi kuwa au kupata bahati kama huna kibali,Hii mada ni nzuri sana na inatufanya tufikiri kweli! Asante nipo online kwa kutuletea hoja hii muhimu.
Mimi naamini kabisa kuwa bahati ipo, lakini si kwa maana ya kuanguka kutoka mbinguni bila sababu. Mara nyingi, bahati tunayoiona kwa watu wengine huwa ni matokeo ya juhudi zao, maandalizi, na kutokata tamaa.
Yaani, unapokuwa umepambana sana, umejifunza, umejitayarisha, unakuwa umefungua milango mingi ya fursa. Fursa hizo zinapojitokeza na wewe ukawa tayari kuzipokea na kuzitumia, ndipo watu wengine wanaweza kuona kama umepata bahati tu. Lakini wewe unajua ni kiasi gani umewekeza!
Kwa hiyo, tusipunguze juhudi zetu kwa kisingizio cha kusubiri bahati. Tujitahidi, tujifunze, tuwe tayari, na bahati itatupata tukiwa kwenye mchakato wa mafanikio. Tuendelee kupambana!
... Pia nyotaaaaaa...
kwaniniBahati haikai sehemu yenye juhudi,ukitaka uwe na bahati kuwa mvivu.
Cocochanel...cha kuongezea hapo huwezi kuwa au kupata bahati kama huna kibali,
Hujawahi kuona mtu ana kila kitu Elimu, maarifa, ujuzi, capital lakini bado maisha hayajamnyookea?