SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Umeongea point sana hapa sijui kwann wavivu mara nyingi huwa na bahati sanaBahati haikai sehemu yenye juhudi,ukitaka uwe na bahati kuwa mvivu.
cha kuongezea hapo huwezi kuwa au kupata bahati kama huna kibali,
Hujawahi kuona mtu ana kila kitu Elimu, maarifa, ujuzi, capital lakini bado maisha hayajamnyookea?