Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Inanishangaza na kujiuliza hivi vituo vya television vya Eatv na Star tv ni vya vituo vya kikristo na kama sio mbona kila asubuhi saa kumi na mbili ni kupiga nyimbo za kwaya tu as if watazamaji wake wote ni wakristo wakati kuna watazamaji wa kila dini kama waislamu,wahindu,mayahudi,mashinto,watibet,na wa kila aina
Mnakera hivyo vituo sie watazamaji wenu mnatuchukiza tutawaachia muwe mnaangalia wenyewe mhavile na diallo muwe mnabalance aisee ingekuwa television inapiga mawaidha ya kiislamu tu humu ndani kusingekalika ungeiona jinsi watu wanalivyolipuka kwa chuki na hasira humu!! Mnakera aisee
Nb;
Moderator muwe mnabalance udini wenu
Acha kuangalia!Inanishangaza na kujiuliza hivi vituo vya television vya Eatv na Star tv ni vya vituo vya kikristo na kama sio mbona kila asubuhi saa kumi na mbili ni kupiga nyimbo za kwaya tu as if watazamaji wake wote ni wakristo wakati kuna watazamaji wa kila dini kama waislamu,wahindu,mayahudi,mashinto,watibet,na wa kila aina
Mnakera hivyo vituo sie watazamaji wenu mnatuchukiza tutawaachia muwe mnaangalia wenyewe mhavile na diallo muwe mnabalance aisee ingekuwa television inapiga mawaidha ya kiislamu tu humu ndani kusingekalika ungeiona jinsi watu wanalivyolipuka kwa chuki na hasira humu!! Mnakera aisee
Nb;
Moderator muwe mnabalance udini wenu
tv walikuwa wanaleta maudhui ya Ramadhani mlikuwa mnapiga vibweka kama mbwa aliyekosa mkiaTulia wewe, vile ni vituo binafsi na hivyo ni vipindi vilivyoko kwenye ratiba zao. Hivyo vituo si TBC eti vibalansi dini. Mbona azam imejaza maudhui ya kiislam kana kwamba nchi ni ya kiislam. Suala la kubalansi dini na imani si lazima kwa kituo binafsi, mmiliki anaweza kujaza vipindi vingi vyenye maudhui ya dini na imani yake, huoni azam anavyofanya?
Basi acheni kumbwekea mzee wa watu kwa kuweka maudhui ya RamadhaniUngeshauri azam muislam mwenye chaneli nyingi walao awe na chaneli moja ya maudhui ya kikristo tu hoja yako ingekuwa ya maana. Vile vipindi vya tv hizo vina watazamaji wake wengi tu na wanavutiwa navyo
Azam TV kwa kuleta maudhui ya kiislamuNunua king'amuzi cha Azam!! Hakika hutojutia. Mule mna kila kitu ukipendacho. Kuanzia Tv Imaan, ZBC2, nk
Sasa Azam Tv unaitenganisha vipi na mauduhui ya Kiislam/Waislam!! Binafsi natumia king'amuzi chao kwa sababu ya mechi za Ligi kuu tu ya Bongo. Hakuna kingine.Na msije kuwalaumu
Azam TV kwa kuleta maudhui ya kiislamu
Mkuu wewe saa 12 asubuhi unatafuta nini kwenye Runinga!?mbona kila asubuhi saa kumi na mbili