Hivi EGM Ni science au art?

Uko katikati ya sayans na arts
 
Jamani mi naomba mnisaidie,hivi nikisoma egm nakua niko science au art?

EGM ni General Science !

Afu Search before post ! Mada kama hizi zipo nyingi humu !

:closed_2:

Maisha Mtelezo
 
Kwa kumaliza kwako Kidato cha Nne,jambo hili ulipaswa kulijua. EGM ni mchepuo wa sanaa kama zilivyo HGL,HGK,HKL,ECA,HGE na KLF.Usitishwe na uwepo wa Hesabu.
 
Kwa masomo ya A level, masomo ya Science ni: Chemistry, Physics, Biology; wakati masomo ya Arts ni History, Geography, Civics, Languages. Masomo ya Mathematics na Economics ni mtambuka (cross cutting). Hivyo basi EGM ni ARTS.
 
Siyo Sahihi sana Mamdogo !
Umeelezea vizuri mwanzoni ila !
 
Kwa masomo ya A level, masomo ya Science ni: Chemistry, Physics, Biology; wakati masomo ya Arts ni History, Geography, Civics, Languages. Masomo ya Mathematics na Economics ni mtambuka (cross cutting). Hivyo basi EGM ni ARTS.

EGM ni arts, umeeleza vizuri.
 
geography ni science especially physical geo ndo mana hawa H nini nini hawa wezi kuwa geologists,meteorogists,astronomists
 
kwa kumaliza kwako kidato cha nne,jambo hili ulipaswa kulijua. Egm ni mchepuo wa sanaa kama zilivyo hgl,hgk,hkl,eca,hge na klf.usitishwe na uwepo wa hesabu.
umekosea eca si mchepuo wa sanaa.nawe pitia vizuri mtaala wa elimu ya sekondari...egm ni sanaa jaamii iliyo na somo moja la sayans i GENARALLY KWA WIZARA YA ELIMU EGM INAKUWA CONSIDERED KWENYE COMBINATION YA ARTS...hivyo lipo katikati,ni sawa na sikuhizi kuna comb ya physics,economics na geography
 
Jamani mi naomba mnisaidie,hivi nikisoma egm nakua niko science au art?

Sasa wadau ntaelewa nini maana wengine wanasema arts,arts 6,social science,general science,wengine ni sayansi vilevile sanaa,ANAYEJUA KIUNDANI BASI ANIELEKEZE!
 
Sasa wadau ntaelewa nini maana wengine wanasema arts,arts 6,social science,general science,wengine ni sayansi vilevile sanaa,ANAYEJUA KIUNDANI BASI ANIELEKEZE!
kwanza hatuna masomo ya art kuna sayansi ya jamii na egm ni sayansi ya jamii (social science)
 
Kaulize mwalimu mkuuuu wako au wizaa ya elimu.utaambiwa ni arts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…