Hivi elimu si siasa?

JOSEPH SAKI

Senior Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
110
Reaction score
16
Wasalaam wanajamvi!
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu jambo hili maana mda mrefu sasa nimekuwa nikiwasikia watu wakisema siasa imeingizwa kwenye elimu pindi utumbo Fulani(jambo liletalo hasara) unapofanyika kwenye sekta ya elimu! Cha ajabu hata watu wenye kiwango kikubwa cha elimu nao wamekuwa wakisema hivi, nami naomba maoni yenu hivi ni kweli elimu si siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…