Hivi Emmanuel Okwi amegoma kukua?

shukrani
nilikuwepo
Sasa umri wa okwi amegoma kukua maana alihamisha magoli nami ninekuacha vile unataka sikutaka kukufukuza mapema
 
Sasa umri wa okwi amegoma kukua maana alihamisha magoli nami ninekuacha vile unataka sikutaka kukufukuza mapema
masuala ya umri hata shule yalinishinda
vipi kuhusu etoo ?
essien ?
webo ?
shanan nonda ?
 
Kuna jamaa nimesoma nae shule ya msingi nw anachezea JKU ya zanzibar wanasema ana miaka 29,wakati mm nmemaliza nae primary school mwaka 1997,najiuliza mwenzetu alimaliza la saba akiwa na miaka 9 wakati si tulikuwa na miaka 14


Tanzania kuna maajabu mengi jamani
 
HIVI EMMANUEL OKWI AMOGOMA KUKUA?
Hivi kweli tumefikia hatua ya kumlazimisha mchezaji astaafu kucheza soka eti kwa kuwa ana umri mkubwa? Hii ni dalili ya kumuogopa. Alipokuwa anasaini Simba mwaka jana, aliitwa mhenga. Amechukua kiatu cha dhahabu na uhenga wake, sasa hivi watu mnasema kwa nini hakui! Sasa mnasimamia kipi, ni mhenga au hakui?
 
bonge mojaaaa ya uchambuziii .....hamna maneno maneno...facts tupuuuu
 
Hili suala tulikua tuna discuss jana, hitimisho tulilopata kuwa Okwi ana miaka 30+
 
Mmemshinda uwanjani mnaleta kashfa za kitoto. Okwi piga hawa Yanga mpaka wakitaka kukojoa sperm wakutaje
 
hivi yondani ana miaka mingapi maana naona yanga mmekuwa mnang'ang'ania sana miaka ya wachezaji wa simba mlitaka kumsajili Kagere lakini alipobadili gia kwenda Simba mkaanza kumuita mhenga mngekuwa hayo mapovu mnaelekeza kuchangia klabu yenu mngekuwa mko mbali sana
 
Hivi kwa ligi ya tanzania kuna kikomo cha umri Wa mchezaji,kwamba akiwa na umri Fulani haruhusiwi kucheza? Naomba kuuliza
Ligi zote duniani uwaga hakuna ukomo wa umri wa kucheza mpira ok,ko be careful with your heart
 
Anayezungumziwa Okwi mkuu!. Maliza usingizi halafu leta Uzi wa Ngasa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni muhimu kuunganisha yote bila kujali team zetu. hii topic sio kuhusu Okwi tu ni tatizo la wote. Mimi sioni shida hata kama yuko 40 lakini anacheza vizuri sawa tu. Tatizo tunahitaji wawe wa kweli kudanganya miaka ni kama wizi fulani hivi. Ngasa level nyingine unaweza kusikia bado 28. Mimi naamini ugonjwa huu uko kote Africa ni wachache tu wako ok. Kwa ufupi wachezaji wa Tz wakisema 25 basi fanya +5/7 kama bongo movies tu. Ila mpira hauna adabu umri ukidanganya utaumbuka tu ndio wale kina Kamusoko sio Ngoma wakubwa ila hatujui miaka yao ila wakubwa.
 
Mi nashauri umri wa mchezaji usiwape shida. Je anafunga? Kama anafunga hata kama ana miaka 50 si mbaya. Roger Miller alicheza mpira world cup mara ya mwisho age ikiwa imeenda sana na alifanya mambo makubwa.

Nadhan umri wake umemsaidia sana maana mwaka jana tulimsema ni mzee. Lakini ndo akaibuka mfungaji bora kuliko vijana. Mpaka sasa bado ametumbukiza tumbukiza mabao.mi nashauri hata tuseme ana miaka 40. But kama anafunga basi hilo ndo la msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…