HIvi Eng. Hersi ni member WA BODI ya LIGI kama ndio anasubiri nini kujitoa?

HIvi Eng. Hersi ni member WA BODI ya LIGI kama ndio anasubiri nini kujitoa?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nkauliza tu
Kama huyu mtu engn n member WA BODI ya LIGI
Kama ndio

Anasubiri nn kujitoa kuwachana na wale
 
Nkauliza tu
Kama huyu mtu engn n member WA BODI ya LIGI
Kama ndio

Anasubiri nn kujitoa kuwachana na wale

Screenshot_20250311_105021_Instagram.jpg

Hersi hayupo ukiangalia utaonaliona tatizo lilipo. Kolo FC ndio timu ya kwanza Duniani kuhairisha mechi yake na Kagera Sugar sababu ya kuwa na majeruhi wengi na bodi walitoa taarifa kabla ya masaa mawili ya mechi kuanza.
 
View attachment 3266395
Hersi hayupo ukiangalia utaonaliona tatizo lilipo. Kolo FC ndio timu ya kwanza Duniani kuhairisha mechi yake na Kagera Sugar sababu ya majeruhi na bodi walitoa taarifa kabla ya masaa mawili ya mechi kuanza.
Hawa wasengee woteee mbwaa kabisaa
 
  • Kicheko
Reactions: 004
View attachment 3266395
Hersi hayupo ukiangalia utaonaliona tatizo lilipo. Kolo FC ndio timu ya kwanza Duniani kuhairisha mechi yake na Kagera Sugar sababu ya kuwa na majeruhi wengi na bodi walitoa taarifa kabla ya masaa mawili ya mechi kuanza.
Mtalia sana, Simba alishawahi kuingia uwanjani Yanga wamesusa kisa mechi imesogezwa mbele masaa mawili tu.

Mkafie mbali huko, na bado mtaleta timu siku husika UTOPOLO wakubwa nyie.
 
Mtalia sana, Simba alishawahi kuingia uwanjani Yanga wamesusa kisa mechi imesogezwa mbele masaa mawili tu.

Mkafie mbali huko, na bado mtaleta timu siku husika UTOPOLO wakubwa nyie.
Wazee wa kanunu KOLO FC mnajua ili mechi isogezwe mbele taarifa inatakiwa itolewe ndani ya masaa mangapi?
 
Back
Top Bottom