No Escape2
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 228
- 323
Kweli kabisaa!Wewe ambaye unafuatilia sana watu hadi ukashindwa kukaa nalo rohoni ndo tatizo lenyewe.
Haswaa Na mimi nasubiria jibu! Ila mi napenda kuitwa mshamba kuliko chochote,Wanaoita wenzao washamba wengi Malimbukeni Usihofu!Hivi kabla ya social medias hizi show offs zilikua zinafanyikaje? Tusiopost chochote huko watsapp status tunaonekana kama wanama/washamba flani.