Hivi farasi anauzwa bei gani na matunzo yake yakoje ?

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
496
Nahitaji kumiliki huu usafiri mnijuze mnaofaham ni bei gani anauzwa na wapi naweza mpata nahitaji awe mweupe. asanteni.
 
Bill Gate anao hawa kama utiriri anauza ni moja kati ya biashara zake...

Ngoja wajuzi zaidi...
 
Mara ya Mwisho nilinunua kwa Buku Jero 2016... Uwezo wako tu wa Ku bargain..
 
Hahahahàhahaha nimecheka sanaaa aiseee ,,sijui kwànini jamaa kàpigwa ban???
Hahah aisee mkuu mode ni noma sana,hopefully sio kwa ajili ya jibu hilo alilolitoa hahah
 
Nahitaji kumiliki huu usafiri mnijuze mnaofaham ni bei gani anauzwa na wapi naweza mpata nahitaji awe mweupe. asanteni.
Nataman. Kufahamu pia. Ila wachimba chumvi wamesha ingia na dhihaka zao, kujifanya wanajua kila kitu, kumbe empty tu
 
Nahitaji kumiliki huu usafiri mnijuze mnaofaham ni bei gani anauzwa na wapi naweza mpata nahitaji awe mweupe. asanteni.
Tembelea Kikosi cha Farasi cha police pale kilwa road,au wizara ya kilimo.utapatiwa bei na kuuziwa.na pia utapewa jinsi ya kuwatunza.Farasi weupe ni garama sana ata huko ulaya.
Kingine unaweza agiza South Africa ukaletewa kwa Air Cargo (kuna miaka tulikuwa tunanunua mbwa na kuwaleta hapa TZ) https://www.gumtree.co.za/s-horses-ponies/white+horses+for+sale/v1c9141q0p1
Kingine unaweza agiza nje.angalia picha hapa chini
 

Attachments

  • Screenshot_20190620-120732.png
    94.4 KB · Views: 200
  • Screenshot_20190620-120714.png
    130 KB · Views: 187
nasikia nyama yake tamu hatari, ni steki mwanzo mwisho kujiramba tu.
 
Nahitaji kumiliki huu usafiri mnijuze mnaofaham ni bei gani anauzwa na wapi naweza mpata nahitaji awe mweupe. asanteni.
Kuna mdau aliwahi fuatilia hii kitu pale Dar Zoo sijui kama alipata info za price....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…